(SWAHILI) QURAN SURE SEÇİNİZ
|
|
| 106 - QURAISH |
| KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. |
![]() |
| 1. | Kwa walivyo zoea Maqureshi, |
| 2. | Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto. |
| 3. | Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii, |
| 4. | Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu. |
